Sifa za Mfumo Wa Camera
( 18 Months Warranty )
MERCURY
✅Mfumo Ulio kamilika wa Camera zetu Unaambatisha
- CAMERA X 6 (ZA NJE PAMOJA NA NDANI)
- HDD 1TB
- 4K DVR 6CH
- BNC & POWER PIN
- POWER SUPPLY
- RG59+2C COAXIAL CABLE
✅Mfumo Ulio kamilika wa Camera zetu Utakuwezesha Kufuatilia Matukio Kupitia Tv/ Screen pamoja Na Simu.
✅Camera zetu zina Ubora wa Picha mkubwa na Angavu yan Ultra High Definition ( UHD )
✅Camera zetu Ni Full Color ,Hii ina maana kwamba Hata Kukiwa na Kiza Camera zetu Zina Uwezo wa Kuonyesha Vizur matukio yanayo Endelea
✅Pia Camera zetu Zimetengenezwa na kuwekewa Microphone ndani yake kuweza Kunasa Sauti Hii inakupa Uhalisia watukio kwani Utapata Video pamoja na sauti .
✅Camera zetu Zinapatikana kwanzia Set ya Camera ( 4CH , 8CH , 16CH , 32CH )


Bill Counter Cash Counting Machine DG-6001
2.1CH ALL-IN-ONE SOUNDBAR HS214
2 MP Smart Hybrid Light with ColorVu Fixed Mini Bullet Camera
3.1CH DOLBY ATMOS SOUNDBAR WITH WIRELESS SUBWOOFER HS312
16-ch 1080p 1U H.265 DVR 

