Sifa za Mfumo Wa Camera
( 18 Months Warranty )
MERCURY
✅Mfumo Uliokamilika wa Camera zetu Unaambatisha
- CAMERA X 5 (ZA NJE PAMOJA NA NDANI)
- HDD 1TB
- 4K DVR 5CH
- BNC & POWER PIN
- POWER SUPPLY
- RG59+2C COAXIAL CABLE
✅Camera zetu zina Ubora wa Picha mkubwa na Angavu yan Ultra High Definition ( UHD )
✅Camera zetu Ni Full Color ,Hii ina maana kwamba Hata Kukiwa na Kiza Camera zetu Zina Uwezo wa Kuonyesha Vizur matukio yanayo Endelea
✅Pia Camera zetu Zimetengenezwa na kuwekewa Microphone ndani yake kuweza Kunasa Sauti Hii inakupa Uhalisia watukio kwani Utapata Video pamoja na sauti .
✅Camera zetu Zinapatikana kwanzia Set ya Camera ( 4CH , 8CH , 16CH , 32CH )
Karibu sana Kupata kilicho Bora Wakati Wote Muda wote kwa Gharama Nzur